Saturday, April 16, 2005

yupi?

Nina taka kutembea nje. Lakini, nina mwannfunzi. Nina kuandika. Yupi nita fanya? sitaki andika. Nina taka njeni. Labda, nikitambea, nikirudia nita andika. Unaweza andika gazeti yangu? Tafadahli? Asante sana!! Nita tambea.

1 Comments:

Blogger ndesanjo said...

Nina taka = Ninataka
Nita fanya nini? = Nitafanya nini?
Sitaki andika = Sitaki kuandika
Nikitambea = Nikitembea
Nita andika = nitaandika

12:41 PM  

Post a Comment

<< Home